JIFUNZE KIINGEREZA

Kupitia kozi hii utajifunza kuongea na kuandika kiingereza fasaha kutoka kwa mtaalamu wa lugha ya kiingereza. Kozi imegawanyika katika vipindi 16, vyote vipo kwenye mfumo wa videos na kwa kiswahili. Zaidi ya hapo, utaunganishwa kwenye group ambalo unaweza kuuliza swali muda wowote kupata msaada.
  • πŸ‘πŸΌπŸ‘πŸΌ Watu 4,496 tayari wamesoma na sasa ni wataalamu! πŸ—£πŸ“
JIUNGE SASA UANZE KUJIBORESHA
Video Fupi Kuhusu Kozi Hii
Cheti
Mambo Utakayojifunza
  • Introduction
  • Utambulisho wa kozi kuhusu nini kitajadiliwa


  • Greetings
  • Namna ya kusalimia, kupokea salamu na mengine


  • Time Telling
  • Namna ya kuzungumzia kuhusu mataifa mbalimbali


  • Nationalities
  • Namna ya kuzungumzia kuhusu mataifa mbalimbali


  • Asking and Giving Directions
  • Namna ya kuweza kuwasiliana kuhusu sehemu na kufika sehemu fulani


  • Asking and Giving Directions - II
  • Namna ya kuweza kuwasiliana kuhusu sehemu na kufika sehemu fulani


  • Polite Request
  • Namna ya kuongea kiingereza kwa namna iliyo na ustaarabu


  • At the market place
  • Jinsi ya kuzungumza na kuwasiliana unapokuwa mazingira ya sokoni


  • Family Relations
  • Mtoto wa kaka yako kwa kiingereza unamuitaje? Jifunze namna ya kuzungumzia vitu mbalimbali kwenye mahusiano ya kifamilia


  • Home Environment
  • Jinsi ya kuzungumza kuhusu vitu mbalimbali kwenye mazingira ya nyumbani


  • Days of the Week
  • Mafunzo kuhusu namna ya kuzungumzia siku za wiki


  • Noun and Pronoun
  • Jifunze kuhusu Nouns na Pronouns. Kuongelea vitu na sifa zake


  • Verbs and Adverbs

  • Adjective and Preposition
  • Jifunze kuhusu Adjective na Preposition. Vivumishi.


  • Tenses - Part 1
  • Sehemu ya kwanza ya Tenses


  • Tenses - Part 2
  • Sehemu ya pili ya Tenses


  • Tenses - Part 3
  • Sehemu ya tatu ya Tenses


Fungua Jisajili kusoma kozi

Gharama ya kozi nzima ni 10,000 TU

Show Password

Je, tayari una akaunti? Ingia