Hizi ni summary inayo elezea mambo muhimu katika computer kama vile vitu vya msingi vya kuzingatia kabla hujanunua na namna ya kuanza kujifunza matumizi na vitu vingine mbalimbali.