Rafiki Mpendwa… . Baada ya kusoma kitabu Hiki mpaka mwisho utakuwa na uwezo wa Kuandika Matangazo (Captions) yako Ndani ya Dkk 15 Tu…yenye Uhakika wa kufyonza & Kunasa Pesa kutoka kwenye Mifuko ya Wateja wako Mtandaoni . Hi, jina langu ni Amosi Nyanda—Matangazo yangu yameweza Kuingiza zaidi ya Tshs 79M+ ndani ya Miezi 12 kupitia Biashara za wateja wangu kwa kutumia mbinu Hizi unazoenda Kujifunza ndani ya Hiki Kinachoitwa—MGODI Na Hizi ni Nusu Tu SIRI unazoenda Kuzigundua ndani ya Kitabu cha MGODI… 1). Fanya Vitu hivi 10 kama wateja hawanunui Bidhaa/huduma yako (Page # 13) 2). Hiki ndicho kitu pekee wateja wanachojali Kwenye Tangazo lako…(Hints: sio Bidhaa yako ni Hiki Page # 17) 3). Hizi Ndizo Aina 3 za wateja mtandaoni na Aina yao ya Tangazo (Page # 20) 4). Tumia Formula Hii unapoelezea Bidhaa Kwenye Tangazo lako (Page # 30) 5). Fanya Hivi ili kupata Shuhuda BURE kutoka kwa wateja wako (Page # 26) 6). Jinsi ya Kuuza bila Kuuza mtandaoni kwa kutumia “Stealth Close” (Page # 57) 7). Hii Ndio Chambo inayonasa zaidi wateja Mtandaoni (Page # 61) 8). Kopi Formula Hizi 17 Unapoandika HEADLINE ya Tangazo lako mtandaoni (Page # 66) 9). Tumia Formula Hii Kuuza mtandaoni kwa kutumia Story (Page 85) 10). Jinsi ya kuwageuza FOLLOWERS wako Kuwa wateja wanunuzi mtandaoni (Page # 97) Na SIRI zingine Kibao Thamani ya Kitabu Hiki ni Tshs 50,000 LAKINI… ... Kwasababu Kinauzwa Kwa Mara ya kwanza Ndani ya MTABE...basi Leo unakipata kwa Exclusive OFA ya… “Tshs 9,999 Tu” . Hii ni zaidi ya OFA si ndio?… Basi BOFYA Hapa chini Kujinyakulia Kitabu chako Ndani ya Sekunde 60 Tu—Kabla OFA haijaisha!