Darasa huru na sba health care linatoa elimu juu ya afya ya uzazi kwa Akina mama na wasichana
_Lengo la darasa ni kuwasaidia wanawake kujikinga na magonjwa yanayo pelekea kukosa watoto
Tutajifunza namna bora ya kuijali afya yako na kutambua dalili na athari za vichocheo vya magonjwa ya wanawake