DARASA LA KANUNI ZA KUDHIBITI KISUKARI ni Maalumu kwa ajili ya kukuwezesha:
1. KUJIKINGA na Kisukari.
2. KUDHIBITI Kisukari (hapa ni kuhakikisha kiwango Cha Sukari ndani ya Mwili wako kinarudi katika uwiano wa kawaida ambao ni 3.8 Hadi 5.7 )
3. Kuondosha Madhara yote yaliyoletwa na KISUKARI ndani ya Mwili wako. (Watu wengi wanatumia dawa kuweka kiwango Cha Sukari sawa lakini wanashindwa kuondoa madhara yaliyosababishwa na Kisukari na kujikuta wanazidi kuteseka. Huu ni muda wa kupata suluhisho.)
❇️Ndani ya DARASA hili utapata Mambo haya;
1. Kupata uelewa sahihii juu ya Kisukari, Aina zake, Visababishi vyake na vichochezi vyake, Dalili zake na madhara yake.
2. MAKUNDI sahihii ya vyakula ambayo ni muhimu kwa ajili ya afya yako.
3. MAKUNDI ya MATUNDA muhimu kwa ajili yako.
4. Aina za viungo vya Chai muhimu kwa ajili yako.
5. KANUNI SAHIHI ZA UCHANGANYAJI WA VYAKULA
6. ◼️RATIBA itakayokuongoza kila siku kuanzia Asubuhi, Mchana na Jioni, Nini ule, ule wakati gani, na kwanini ule hivyo.
7. Namna Bora ya Kuandaa JUISI ya MATUNDA na MBOGAMBOGA itakayokupa faida nyingi kiafya.
8. Aina mbalimbali za MAZOEZI MUHIMU na faida zake kwa ajili ya KUBORESHA AFYA YAKO.
9. MAJIBU ya MASWALI ambayo watu wengi wenye Kisukari WANAJIULIZA.
🔳DARASA hili Gharama yake ni 39,000/= badala ya 60,000/=
🔷Wahi OFA HII Sasa kabla haijakupita...Malipo ni mara moja tuu...
☎️Kwa maelezo zaidi Tupigie hapa 0764899798 / 0762481326