Gabriel Mrisho - FOOD & NUTRITIONIST
AFYA , LISHE NA TIBA MBADALA KWA MITI SHAMBA
Hii Ni Sehemu Maalum Ambapo Utakutana Na Mimi Mtaalam Wa Maswala Ya Lishe Na Tiba Kwa Njia Ya Ya Mitishamba Bila Kukosa Ushauri, Nawakaribisha Marafik ...
Jumanne Kilewa - LAWYER
ZIJUE SHERIA ZA NCHI, MIRATHI NA MIKATABA MBALIMBALI
Ukumbi huu utakuwezesha kutambua sheria mbalimbali za nchi na taratibu zake,vile vile katika ukumbi huu utapata kuelewa sheria za mikataba makazini,mi ...
Pendo Mwihumbo - AFYA YA UZAZI
Room hii inalenga kumsaidia kijana kuelewa na kuelezea maswala ya afya ya uzazi kwa vijana, upatikanaji wa huduma za afya ya uzazi na haki za vijana k ...
Jankey Elieza - KILIMO CHA MBOGA
JIFUNZE KUTUNZA NA KUHUDUMIA MBOGA NA MATUNDA
Hapa utajifunza na kuelekezwa namna bora ya utunzaji wa miche mbali mbali ya mboga mboga na matunda na nmatunda mboga kama nyanya, pia utaelekezwa n ...
WILLIAM GOMERA - LOGISTICS AND TRANSPORTATION
Room hii itakuwezesha kufahamu masuala yote na taratibu zote za usafirishaji, uagizaji na upokeaji wa mizigo duniani kote ...
Ignas Selestine Karuhawe - KILIMO CHA MIFUGO
ELIMU YA VIUMBE WA MAJINI / AQUACULTURE
Jifunze tabia,maisha na faida za viumbe waishio majini mfano samaki na kasa ...
Betha Zakaria - BUSINESS MANAGEMENT
Pata elimu ya kuanzisha biashara na ujasiriamali ...