Hii kozi imefundishwa kuanzia ngazi ya msingi mpaka ngazi ya utaalamu. Mwisho wa kozi utaweza kutumia huu ujuzi kuweza kuandika nakala mbali mbali kama barua, risiti, mchapisho kama mitihani. Huu ujuzi unaweza kutumika maofisini, shughuli binafisi pia kujiingizia kipato au ajira kama kufanya kazi stationary au kua secretary wa taasisi au ofisi.
ππΌππΌ Watu 4,496 tayari wamesoma na sasa ni wataalamu! π£π