Kwenye jukwaa hili utajifunza namna kuhusu Viungo vya chakula vile vinavyotumika kwa wingi kwa lengo la kuboresha mapishi, matibabu na kutengenezea manukato. Kuna aina nyingi za viungo kulingana na matumizi yake. Mifano ya viungo ni pamoja na;pilipili, iliki,mdalasini, tangawizi
Viungo husifika kutokana na uwezo wake wa kutoa harufu, rangi na ladha nzuri na vimegawanyika katika makundi mbalimbali kulingana na sehemu ya mmea inapotokea. Kuna viungo ambavyo hutokea kwenye majani, magome, matunda, shina, mizizi, mbegu.
Karibu kwenye jukwaa langu ujifunze mengi kuhusu vioungo