Hii Ni Sehemu Maalum Ambapo Utakutana Na Mimi Mtaalam Wa Maswala Ya Lishe Na Tiba Kwa Njia Ya Ya Mitishamba Bila Kukosa Ushauri, Nawakaribisha Marafiki Wote Kupata Ushauri Wa Kimatibabu Na Namna Ya Kutumia Lishe Kama Kinga Na Tiba Ili Kuepuka Madhara Yasababishwayo Na Na Matumizi Ya Muda Mrefu Ya Dawa Za Hospitali. KARIBUNI SANA.