Afya ya Uzazi kwa vijana

Afya ya Uzazi kwa vijana

TZS 5,000.00 0 days remaining

Room hii inalenga kumsaidia kijana kuelewa na kuelezea maswala ya afya ya uzazi kwa vijana, upatikanaji wa huduma za afya ya uzazi na haki za vijana kwenye afya ya uzazi. Tutajifunza kwa pamoja mada mbali mbali zinazo husu afya ya Uzazi kwa vijana na kujadiliana jinsi ya kutatua changamoto ambazo vijana wanapitia wakati wanatafuta huduma za afya ya uzazi.

Jiunge na Darasa

Lipa kiingilio ili uone machapisho yote ya darasa hili

Lipa Kiingilio