JIFUNZE KUTUNZA NA KUHUDUMIA MBOGA NA MATUNDA

Hapa utajifunza na kuelekezwa namna bora ya utunzaji wa miche mbali mbali ya mboga mboga na matunda na nmatunda mboga kama nyanya, pia utaelekezwa na aina nzuri kwa kila ukanda uliopo ni aina gan bora kwa matunda mbali mbali ya muda mfupi kuanzia miaka miwili, ikiwemo miparachichi, maembe , machungwa, na mlimao. Karibu kujua uhakika wa soko la bidhaa zako na kukutanisha na wateja wetu wa kudumu..ASNTE NA KARIBU NIKUHUDUMIE

TZS 3,000.00

0 days

Room Posts will appear here

1 2Next Last