Hili darasa linahusu elimu juu ya sarafu za mtandao pamoja na technology mpya ya blockchain (Cryptocurrency & Blockchain technology)
-Hapa tunajifunza maarifa juu sarafu za mtandao na Faida zake
-Tutajifunza namna ya uwekezaji salama Katika hizi safaru na unawezaje kupata Faida pamoja na kujikwamua kiuchumi kupitia hizi sarafu
-Tutajifunza namna ya kuepuka na utapeli au ulaghai unao fanyika mtandoani kupitia hii technology
-Tutajifunza Bitcoin ni nini kwa upana zaidi, Blockchain technology ni nini sarafu za mtandao ni nini
Pia Tutajifunza future & spot trading pamoja na namna ya kuepuka Risks
-Tutajifunza namna ya kufanya analysis za sarafu( Fundamental, Technical & Sentimental analysis) Ili kuwezesha Katika kuchagu sarafu ambayo itakupa Faida kwa haraka na kuepuka Risks