Wengi tuna ndoto ya kwenda kuishi marekani lakini hatujui unaanzia wapi ili uweze kufika marekani. Kwenye darasa langu nitakufundisha program inaitwa green card lottery(Diversity visa program) ambayo hufanyika Kila mwaka na marekani wanatoa visa hii ili uweze kuwa mkazi wa kudumu wa MAREKANI yaani permanent resident.