Kupitia darasa hili utapata nafasi ya kujifunza the best recepies, utapata maelekezo wapi pa kupata recepies/mahitaji kwa bei rahisi, na pia utajifunza jinsi kupika biriani na sotojo lake step by step birian ya biashara na birianikwa ajili ya kula na familia. Join lets cook birian.