Jifunze sheria za kodi

Jifunze sheria za kodi

TZS 2,000.00 0 days remaining

Kodi ni chanzo muhimu cha mapato ya serikali ya Tanzania, hivyo basi serikali inajitahidi kutengeneza mifumo mbalimbali ya ukusanyaji. Kwa mlipa kodi ni muhimu kuwa makini na masuala ya kufuata (comply) sheria za kodi ili kuepusha adhabu (penalty). Hivyo basi katika jukwaa hili utajifunza aina mbalimbali za kodi na sheria ,nakukaribisha kutembelea (Subscribe) jukwaa hili kwa elimu ya kodi na ulipaji wake

Jiunge na Darasa

Lipa kiingilio ili uone machapisho yote ya darasa hili

Lipa Kiingilio