1. Kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza utapata njia rahisi katika mada zote za Basic Mathematics
2. Kwa wanafunzi wa shule za msingi wanapaswa kuchagua lugha sahihi ya kujifunzia , hii ni kutegemeana na shule anayosoma ( ENGLISH MEDIUM OR SWAHILI MEDIUM)