Katika darasa hili Utajifunza vitu vingi kuhusu Siri ya Kipato Youtube , Jinsi gani watu wanatengeneza mamilioni kila mwezi kupitia mtandao wa youtube .
Vitu hivi vya muhimu utajifunza .
1: YouTube ni Nini ?
2: Faida za YouTube na hasara zake
3: Tofauti ya Youtube na Mitandao mengine ya kijamii
4: Jinsi ya kutengeneza Youtube Channel
5: Vitu vya kuzingatia Wakati wa kutengeneza Youtube Channel .
6: Jinsi ya Kutengeneza video zako za youtube
7: Jinsi ya kuedit video zako ( app za kuedit video )
8: Jinsi ya kuedit Thumbnail
9: Jinsi ya Ku upload video zako Youtube .
10: Vigezo Vya kuzingatia ili uanze kupata Pesa Youtube kila mwezi .
11: Jinsi ya kupata views youtube
12: Jinsi ya kupata Subscribers Youtube .
13: Jinsi ya kupata Watch time ( hours ) youtube .
14: Jinsi Ya kuomba Monetization ( mfumo wa malipo ) youtube
15: Jinsi ya kuset Google Adsense kwa ajili ya malipo ya youtube
16: Jinsi ya kuomba Monetization youtube
17: Utalipwa lini na youtube .
18: Nini maana ya CPM na RPM
19: Jinsi ya kuchagua Niche nzuri ya channel yako .
20: Jinsi ya kufanya marketing ya channel Yako .
21: Njia 8 za kupata Pesa Youtube
Hizo ni Baadhi ya Vitu ambavyo Utajifunza katika darasa hili na mengine kibao .
Tutaanza nawe mpaka tutahakikisha unapata pesa kupitia youtube ndani ya muda mfupi . Jiunge leo na darasa langu .