Kwenye hili jukwaa utapata elimu juu ya ufugaji wa kuku wa kienyeji. Elimu hii itagusa mambo kadhaa ya kuzingatia unapofuga kuku wa kienyeji ikiwemo lishe ya kuku, mazingira ya kuwafugia, kalenda ya kutoa chanjo kwa kuku, soko la kuku wa kienyeji.
Jiunge na Darasa
Lipa kiingilio ili uone machapisho yote ya darasa hili