Ukumbi huu utakuwezesha kutambua sheria mbalimbali za nchi na taratibu zake,vile vile katika ukumbi huu utapata kuelewa sheria za mikataba makazini,mikataba ya mauziano mfano viwanja,magari na nyumba bila kusahau sheria za mirathi. Tembelea (subscribe) ukumbi huu kwa elimu bora ya sheria